Search results

  1. Dionize N

    Kwako mrembo wangu wa nguvu

    financial services Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu. Allah akujaalie maisha marefu yenye baraka tele. Unapendwa na utapendwa daima mrembo wangu wa nguvu.
  2. Dionize N

    Hivi inakuaje Mwanamme unajivisha Jinsia ya kike?

    Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao? Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha jinsia ya kike. Kuna wakati utakuja upate tatizo na ukahitaji members wakusaidie unakuja tambulishwa...
  3. Dionize N

    Msaada Juu ya ufugaji wa Kuku

    Habari zamchana wana bodi, samahani wakuu kwa wale wataalam wa ufugaji wa kuku nahitaji msaada wenu. Nimeanza kufuga sasa nina mwezi wa tatu. Nafuga kuku chotara wa mayai, nimekumbana na hiki kitu sikielewi kuku wangu wana nyonyoka manyoya migongoni na wanadonoana sana. Nimejaribu kuwapa...
  4. Dionize N

    Jukwaa lipi uingiapo JF ndio la kwanza kulipekekua?

    Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na Jukwaa la kimataifa. Kuna majukwaa huwa siingii kabisa ila la wakubwa huingia siku mojamoja usiku...
  5. Dionize N

    Dully Alilia mwaliko Harusi ya Ali Kiba

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya , Dully Sykes, ametoa ya moyoni baada ya kutoalikwa harusi ya msanii mwenzake Alikiba, ambaye kwa asilimia kubwa amehusika kwenye sanaa yake ya muziki mpaka kufikia alipo sasa. Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes...
  6. Dionize N

    Kunanini kati ya wasanii na Views nyingi Youtube

    Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni...
  7. Dionize N

    Aje Remix Official Video

  8. Dionize N

    Hii mpya ya Diamond au

    Naona kihome home
  9. Dionize N

    MWANZA: Jeshi la Polisi lamkamata mfanyabiashara akiwa na madawa ya kulevya

    Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya yanayodhaniwa kuwa heroine kiasi cha pinchi 240 na ndonga mbili. DCP Ahmed Msangi - RPC Mwanza Taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa leo, imedai kuwa mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Kassim Hemed...
  10. Dionize N

    Wenye sura mbaya kama mimi kumbe tujiamini tu

    Kwa mujibu wa Irene, wanaume wenye sura mbaya ndio ambao huamsha zaidi hisia zake za kimapenzi! Strange, lakini ndio ukweli wake. Muigizaji huyo ambaye ameandaa event maalum kwaajili ya Valentine’s Day aliyoipa jina, ‘Irene Uwoya Valentine’s Special Night, ameahidi kueleza baadhi ya mambo ambayo...
  11. Dionize N

    Wadada achaneni na waganga wanawaharibia miili yenu

    Wanawake achaneni na maswala ya kwenda kwa waganga ili kusafisha nyota sijui wenyewe mnadai, unakuta mwanake mzuri hadi unavutiwa nae, unatumia pesa zako hadi unampata, mkienda sasa ili kukamilisha tukio unamvua mwanamke unakuta kajaa michale yaana kachanjwachanjwa hadi matak*ni Tunajua awamu...
  12. Dionize N

    Maisha magumu yaitoa chimbo familia ya Q Chilla

    Familia ya msanii wa bongo fleva Q Chilla wameamua kuingilia kati mkataba wa msanii huyo na kusema mkataba huo unamfanya aishi maisha magumu kiasi cha kushindwa kuchangia mambo yakifamilia. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, baba mdogo wa Q Chila amesema kwamba hofu juu ya mkataba ni kwamba...
  13. Dionize N

    Majibu ya Harmorapa kwa Iyobo

    Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa. Source: You Heard
  14. Dionize N

    Shemeji anazingua

    Closed
  15. Dionize N

    Enough is Enough

    ULE msala wangu na girlfriend wangu ulotokea ijumaa nikawasilisha ili kupata ushauri hatimaye jana uvumilivu ulinishinda maana naona alidhamilia kujidhuru, toka ijumaa jioni hadi jana mchana alikua bado kagoma kula ikabidi niende kwa mjumbe na nikamweleza issue nzima nikaja nae home ili kumaliza...
  16. Dionize N

    Kiba kuja na tour ya dunia nzima

    Happy New Year. It's time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA Contact Exclusive Agent & PR @matthewmensah for additional bookings & endorsements in SA/Southern Africa #MTVEMABestAfricanAct #AlikibaSATour2K17...
  17. Dionize N

    Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Ni hivi, mimi situmii kinywaji ila girlfriend wangu anakunywa aina zote za bia sasa jana kaniomba hela anataka achukue bia hapa jilani mimi nikamnyima akaingiza mkono kwa nguvu katika mfuko wangu akachukua wallet na kuchukua mwekungu mmoja, mimi nikawa nampokonya bahati mbaya ikachanika...
  18. Dionize N

    Ngoma mpya ya Raymond

    Naona kama kachemsha hivi kwa hii au nyie wadau mnasemaji mnaielewa au hamuielewe kama nisivyoielewa
  19. Dionize N

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Natumaini kwema humu jamani. Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back. Moja kwa moja katika topic, nimekuwa nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu. Nilikuwa...
Back
Top Bottom