SoC02 Threads

  • Suggestion
Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Suggestion
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya. UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI. Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa...
13 Reactions
155 Replies
8K Views
  • Suggestion
"SIRI ZILIZOJIFICHA KWA KIJANA MSOMI" KIJANA: Wengi wetu tunamfahamu kama binadamu mwenye jinsia ya Kike au kiume, na alie na umri wa kuanzia miaka 18 mpaka 45. KIJANA MSOMI: Hapa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Suggestion
Mimi ni kijana niliyelelewa na kukulia chini ya malezi ya mama ,baba yangu alifariki nikiwa bado mdogo mama alinilea vyema akiwa ni mwajiriwa wa serikali, alinisomesha nami nikasoma kwa bidii...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Suggestion
Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Suggestion
Uchumi unaweza kuelezwa kwa namna mbalimbali. Uchumi ni jumla au mjumuisho wa shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji katika nyanja zote za maisha ya jamii au taifa husika...
1 Reactions
5 Replies
699 Views
  • Suggestion
Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za...
1 Reactions
3 Replies
701 Views
  • Suggestion
1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Suggestion
(Ngono kinyume na maumbile kwa wanandoa au wachumba) 🎀 Tendo la ndoa au kufanya mapenzi ni jambo nyeti na muhimu sana kwa binadamu. 🎀 Ufanyaji mapenzi au kujaamiana hufanywa na wapenzi walio na...
15 Reactions
20 Replies
5K Views
  • Suggestion
Utajiri: Ni Hali ya MTU au watu kujitosheleza Katika nyanja tofautitofauti za kiuchumi. Utajiri unaweza kuhusisha vitu Kama vile mifugo, mashamba, mali au pesa. MTU huitwa tajiri kwa kumiliki...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
  • Suggestion
Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
  • Suggestion
Makosa ni Yangu Majira ya kiangazi nchi Tanzania katika viunga vya jiji la kitalii Arusha ,Nikiwa katika mitaa ya Njiro ambako wenyeji wanapaita ni mitaa ya kishua nami nikiwa nimekaa katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Suggestion
Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Suggestion
Sijawahi kata tamaa katika maisha ya utafutaji. Habari zenu wana jukwa hili. Natumaini mnaendelea vizuri na Pole sana kwa wale ambao wanajisikia vibaya kiafya. Jina la naitwa Neema Lusekelo.Ni...
11 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Suggestion
Habarini ndugu watanzania wenzangu Mimi Ni binti wa miaka 25 kwa sasa Ni mama wawatoto wa 4 na hapo niliolewa na miaka 14 chanzo ninaandika kuuchungu mkubwa sana Tena sana. Nilizaliwa wilaya ya...
2 Reactions
6 Replies
623 Views
  • Suggestion
Wanaangamia kwa kukosa maarifa WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA Ni miaka sitini imepita tangu uhuru upatikane. Watanzania wanaendelea kuishi kwa kuambiwa na kutenda kwa kuongozwa. Ni wachache...
4 Reactions
8 Replies
899 Views
  • Suggestion
AFYA YA AKILI inajumuisha maeneo kadhaa muhimu, iwe kifikra, kihisia, kisaikolojia, na hata kitabia, bila kusahau maeneo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kadhalika. Kama unatambua uwezo ulionao...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Suggestion
Habari wanaJF, Kwa wale tunao amini katika Mungu, kila uvumbuzi wa kiteknolojia unaofanywa na binadamu basi ni Mungu mwenyewe ameruhusu ukafanyike ili kutimiza mahitaji na matakwa ya binadamu...
7 Reactions
6 Replies
995 Views
  • Suggestion
USHIRIKA KAMA NYENZO KUU YA MAENDELEO. Vyama vya ushirika ni msamiati unaokaribia kufutika kabisa kwa kizazi cha sasa. Vyama kama SHIRECU, KCU na KNCU viliweza, kwa wakati wao, kuleta mapinduzi...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
  • Suggestion
Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom