SoC01 Threads

  • Suggestion
Ni mwaka mmoja sasa tangu Ndugu yetu Benjamin William Mkapa alivyotangulia mbele za haki tarehe 24 Mwezi wa Julai mwaka 2020. Nitumie fursa hii kushiriki nanyi kurejea hekima zake ili zituongoze...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Suggestion
Afya ni mtaji wa kwanza kwa kila mtu anayehitaji maendeleo yake binafsi na hata ya jamii na taifa lake. Afya ni mabadiliko ya uimara katika utendaji wa binadamu kimwili, kiakili na hata kiroho ili...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
  • Suggestion
Nimefanya kazi katika taasisi za elimu kwa miaka mingi sasa. Tatizo kubwa ambalo nimekuja kukutana nalo hasa kwa graduates wa nchi hii ni uwezo mdogo wa kupambania soko la ajira linapokuja suala...
1 Reactions
0 Replies
607 Views
  • Suggestion
MAJANGA YA MOTO Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Suggestion
Lugha ndio nyenzo kuu inayotumika kufikisha ujumbe kwa walengwa. Ingawa kuna nyenzo zingine kama picha, michoro, ishara, alama nk zinazotumika katika kufikisha ujumbe lakini lugha ndio nyenzo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Suggestion
Ili kuendana na dunia ya sasa inayopiga hatua katika ukuaji wa sayansi na teknolojia, suala la uwajibikaji wa viongozi wetu na wale waliopewa mamlaka kuhakikisha wanatawala kwa kufuata misingi ya...
3 Reactions
2 Replies
5K Views
  • Suggestion
Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu. UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo...
1 Reactions
0 Replies
903 Views
  • Suggestion
Wadau, hakika ili taifa liwe imara mfumo wa elimu yake lazima ubadilike, tuko hivi tulivyo kutokana na aina ya elimu yetu tunavyoitoa ikiwemo mitaala yetu! wakati nimeona hili shindano nikadhani...
5 Reactions
6 Replies
871 Views
  • Suggestion
Ukosefu wa ajira umekuwa ni wimbo mkubwa ambao umeathiri asilimia kubwa ya vijana Afrika na dunia nzima kwa ujumla. Licha ya jitihada mbali mbali zinazochukuliwa kuwaajiri watu katika taaluma zao...
2 Reactions
0 Replies
616 Views
  • Suggestion
Moja ya jambo linaloongeza ukosefu wa ajira nchini mwetu ni mfumo mbaya wa utoaji elimu ,ambao unalenga zaidi kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi kwa serikali na jamii kiujumla. Kijana anakaa...
1 Reactions
0 Replies
917 Views
  • Suggestion
Utawala bora na uwajibikaji ni nyenzo mojawapo muhimu sana inayohitajika katika kila Taifa hapa duniani kwa ajili ya kusonga mbele. Ni kupitia utawala bora na uwajibikaji ambapo utu wa binadamu...
2 Reactions
2 Replies
953 Views
  • Suggestion
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Suggestion
Elimu ni dhana inayoelezewa kwa namna nyingi na kufafanuliwa kulingana na mahala, wakati na shughuli. Elimu ni uhamishaji wa maarifa, mbinu na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja, jamii moja au kizazi...
2 Reactions
1 Replies
788 Views
  • Suggestion
NCHI YANGU, UHAI WANGU! Ndugu mpenzi msomaji wa stori hii , naomba usome kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu ili uweze kukipata kitu kinachoweza kubadili mtizamo wako na kubadili maisha yako kwa...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
  • Suggestion
Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Suggestion
Maisha yana mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni mtazamo wa kisiasa, mtazamo wa kijamii na mtazamo wa kiuchumi. Mitazamo yote mitatu kwa kila mmoja wapo huweza kuungana na mwingine ili kuzalisha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Suggestion
Kilimo kina umuhimu mkubwa sana kwa nchi yetu kwani kinatupatia Chakula Afya Ubora wa familia hupimwa kwa kujitosheleza kwa chakula. Asilimia 65% - 70% ya watu wanategemea kilimo. Moja Kati...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
  • Suggestion
Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Suggestion
Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya zamani, simaanishi hizi ni dunia mbili hapana! Dunia ni ile ile isipokua mambo yanayojiri duniani hubadilika, kama ambavyo mazingira au sura ya dunia...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Suggestion
Yapata miongo mingi tanguTanzania ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Imepita mihula mingi ya uongozi, tangu Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere hadi kufikia utawala wa sasa...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom