Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu.
Wachangamshe vichwa jamani sio...
Kuna jopo la watu limezagaa Dar es Salaam wanaovaa uniform za shati jeupe na suruali nyeusi wanaokamata magari kwa madai ya wrong parking.
Natumia neno kwa madai kwa sababu ni kama wanaotengeza...
Mimi ni mkazi wa Tabora, kuna hoja naomba nishee na Wana JF, ipo hivi, Watoto ambao wanasoma Shule ya Sekondari Sikanda kama akichelewa kuripoi hata kama ni siku moja tu, mzazi wake anatakiwa...
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa...
Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo.
Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo...
Hili daraja lipo Kilindi, katika kijiji cha Matale na Kwekivu.
Daraja hili ni bovu limearibiwa na mvua na mamlaka zipo kimya halijakarabatiwa kabisa na ni adha kwa watumiaji wa njia hii
Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024).
Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu...
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni...
Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi.
Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi...
Nimebadilisha jina la gari langu kwenda kwa jina la mtu aliyenunua usafiri huo kutoka kwangu tangu tarehe 23/01/2023 lakini mpaka leo (Februari 2024) mabadiliko hayo ya jina yanasomeka kwenye kadi...
Kuna Chuo kinaitwa Blue Pharmacy College of Health kipo Singida Mjini mbele ya Serengeti Pub kina hosteli za Wadada zipo opposite na Cheyo Lodge.
Concern yangu ni hizo hosteli zipo kwenye danguro...
Kuna mambo ya hovyo yanafanyika kwa wakusanyaji wa ‘gate collection’ upande wa pikipiki katika Daraja la Kigamboni (Dar es Salaam), wanachokifanya hawatoi risiti halafu fedha za malipo zinazotozwa...
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa...
Habari,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE).
Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo...
Habari za mchana.
Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja...
Jamani eeee tusaidieni kupaza sauti Idara ya Maji hapa Mwanza imekuwa kero maana haijulikani ni mgawo wa maji au la!
Zaidi ya siku 4 hadi 5 hakuna maji Mtaa wa Bugarika na hakuna taarifa yoyote...
Salaam kwenu wana JF,
TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii...
Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya...
Salaam Wadau,
Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.