Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
5 Reactions
37 Replies
744 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
A
Anonymous
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua...
1 Reactions
6 Replies
371 Views
Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania,atatoka ndani ya CCM. Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM...
0 Reactions
3 Replies
117 Views
Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
1 Reactions
6 Replies
190 Views
Kama mnavyoona hapo Jana watu wanalalamika yanga kawaaribia ila ni kutokana na tamaa game ya fainali unampaje mtu. Mazima wakati unajua Kuna extra time
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
4 Reactions
15 Replies
280 Views
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi...
14 Reactions
57 Replies
1K Views
Jaman moja ya kitu ambacho wazungu wametupoga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni Ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes tunakubali...
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Kwenye picha akiwa na wenzie. Wakijadiliana mambo ya msingi kwa mataifa haya mawili.
1 Reactions
11 Replies
329 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,705
Posts
49,783,998
Back
Top Bottom