Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh...
Ndugu zangu wa Tanzania,
Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity"...
hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Jukumu kubwa lililo mbele ya Watanzania wote wakati huu tunapoisaka Katiba Mpya ni Kufuta Ujinga, kwa sababu Ujinga wa Taifa unawarahisishia...
Kwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga.
Lengo langu ni kujua...
Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa.
Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua...
Utangulizi:
Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.