With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo...
Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya...
Ushawahi sikua watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
Habari za wakati huu,
Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.