Tunakushukuru kwa kumpa kadi moja ya njano Dickson job baada ya kufanya rafu Kali mbili kwa kipre na Fei,😀
Tunakushukuru kwa kumuacha aucho baaf rafu mbili pia na Ibrahim baka ambaye mwishowe...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea...
EPISODE 01, SEASON 01
Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni.
Kuna Mzee flani huwa...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka
Kila mtu mtu ukimuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.