Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
7 Reactions
40 Replies
2K Views
je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia...
4 Reactions
24 Replies
543 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
16 Reactions
567 Replies
10K Views
Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
3 Reactions
8 Replies
178 Views
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba Ni nadra sana...
9 Reactions
23 Replies
257 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, X wangu nilibahatika kupata naye mtoto mmoja lakini tushaachana, mtoto anakaa na bibi yake, lakini huyu X wangu kila akituma ujumbe anataka nimjibu...
6 Reactions
14 Replies
894 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Habari wandugu ..., Nawaleteeni huduma bora kabisa na ya haraka zaidi kwa mahitaji tajwa hapo juu karibu nawe.... Zote zinapatikana Moshi mjini kona zote au mitaa yote na utazipata ka haraka...
4 Reactions
32 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,610
Posts
49,780,973
Back
Top Bottom