Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini.
Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Ya Mwanza kwenda Musoma Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Habari wanajukwaa la sports.
Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
Salaam, Shalom!!
Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.