Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu mimi wa muda mrefu huku JF nilikuwaga na account yangu nikaipoteza. Ombi langu kwenu ni naomba mwenye kibarua chochote anisaidie, nipo mkoa wa Arusha. Nina diploma ya accounting yenye G.P.A...
3 Reactions
3 Replies
20 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema...
8 Reactions
37 Replies
263 Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
15 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa...
9 Reactions
78 Replies
806 Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kweny nafaka sasa na leo ni siku ya pili kweny hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau. Ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
1 Reactions
7 Replies
178 Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
1 Reactions
42 Replies
428 Views
Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wana Jukwaa. Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini: Huawei ZTE Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana...
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
15 Reactions
225 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,420
Posts
49,662,381
Back
Top Bottom