Wakuu.. naomba mtu anayezifahamu courses zote za masters zinazopatikana UDSM ndani ya "Collage of Agriculture Science and Food Technology"
CoAF.. itapendeza ukiorodhesha hapa au kutumia PDF kabisa
Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gander G Habash na kutangaza warithi Wa...
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja...
SWIM WITH THE TIDES Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "ogelea na mawimbi" au "yatumie mawimbi". Na ukifanya hivi utafanikiwa sana sana.
Labda tutazame mifano michache shall we ?!
MFANO 1. Wewe...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga...
Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331);
Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.