Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
6 Reactions
87 Replies
1K Views
AFRIKA KUSINI: Mahakama ya Juu imetoa uamuzi unaomuondoa Jacob Zuma, Rais wa zamani wa taifa hilo katika orodha ya Wagombea Urais katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 Kwa mujibu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
9 Reactions
29 Replies
577 Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
10 Reactions
33 Replies
819 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
14 Reactions
87 Replies
6K Views
Wakuu Kwema ? Kwa mwenye hiki kitabu cha Almasi ya Kijani kilichoandikwa na Dkt. Dyaboli naomba anisaidie namna ya kukipata.
3 Reactions
1 Replies
139 Views
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
36 Reactions
322 Replies
3K Views
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
8 Reactions
20 Replies
85 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
102 Reactions
653 Replies
23K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,390
Posts
49,661,503
Back
Top Bottom