Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa.
Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida..
So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard...
Hisia hazitabiriki. Hisia zinabadilika haraka sana. Hisia zinaweka kufanya uharibu mambo. Hisia zitakufanya uhisi huna maamuzi kwa muda huo lakini akili ni maamuzi ya muda mrefu. Maamuzi ambayo...
Sasa unajiuliza kama hapo tu nje ya ofisi za Dc kijana
Mkurugenzi Binti mdogo kabisa ni Mazalia makuu ya Mbu kwingine kukoje?
Na ukifatilia Mkuu wa Wilaya ni kijana mbichi kabisa,Mkururgenzi ndo...
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009.
Hivi sasa yamebaki maghofu...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.