Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
Serikali ya awamu ya 6 inayoongizwa na mama wa Taifa Samia S.Hassan Ambae ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania imekusudia kuanza Ujenzi wa Daraja la Pili linalounganisha Dar es Salaam na Wilaya ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye...
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc...
Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake.
Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..
Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
Polen kwa majukum,
Unaweza uchukulie poa ila siku unauziwa kiwanja, unaambiwa mfn 100squared metre au 100meter square unashndwa kuchagua kp n kikubwa,
Kuna uzi mmoja wa mchana jamaa aliomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.