Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania...
Wakuu kwema, nataka kwenda huko kimatembezi zaidi napenda sana nchi za watu wa macho madogo kama Japan, Korea, Vietnam, China ila kwa sasa naangalia sana Korea Kusini.
Naomba muongozo kwa...
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
Habari wa jf
Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku.
Naomba mwenye uzoefu...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza.
Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.