Taarifa za hivi punde:
Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Irani na waziri wake wa mambo...
💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO;
1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani...
Sasa unajiuliza kama hapo tu nje ya ofisi za Dc kijana
Mkurugenzi Binti mdogo kabisa ni Mazalia makuu ya Mbu kwingine kukoje?
Na ukifatilia Mkuu wa Wilaya ni kijana mbichi kabisa,Mkururgenzi ndo...
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea?
Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu.
Baada ya...
ALINIDANGANYA NI MWANAJESHI
Mama Jennifer shikamoo. Mimi naitwa Lila (sio jina halisi) na kabla ya kuja Dar nilikuwa naishi kijijini kwetu mkoani Singida.
Mwaka jana nilibahatika kuchumbiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.