Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
21 Reactions
751 Replies
20K Views
Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa. Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
2 Reactions
13 Replies
151 Views
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida.. So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard...
1 Reactions
16 Replies
711 Views
Hisia hazitabiriki. Hisia zinabadilika haraka sana. Hisia zinaweka kufanya uharibu mambo. Hisia zitakufanya uhisi huna maamuzi kwa muda huo lakini akili ni maamuzi ya muda mrefu. Maamuzi ambayo...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa unajiuliza kama hapo tu nje ya ofisi za Dc kijana Mkurugenzi Binti mdogo kabisa ni Mazalia makuu ya Mbu kwingine kukoje? Na ukifatilia Mkuu wa Wilaya ni kijana mbichi kabisa,Mkururgenzi ndo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Leo nipo safarini kuelekea Dar es salaam kupitia route ya Msata-Bagamoyo. Nimepita hotel ya kitalii ya KIROMO VIEW RESORT ambayo ilizinduliwa na Kikwete mwaka 2009. Hivi sasa yamebaki maghofu...
27 Reactions
123 Replies
9K Views
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
3 Reactions
30 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,307
Posts
49,657,896
Back
Top Bottom