Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu...
2 Reactions
12 Replies
171 Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
1 Reactions
5 Replies
61 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
243 Replies
14K Views
Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
1 Reactions
17 Replies
113 Views
Peter Msigwa Amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ambako anachuana na Sugu. Just imagine hiki ndio chama Cha Upinzani kinachodia kitapambana na Rushwa yet chaguzi zao...
1 Reactions
10 Replies
122 Views
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha. Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa...
21 Reactions
184 Replies
4K Views
Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
2 Reactions
11 Replies
99 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio...
9 Reactions
45 Replies
836 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
8 Reactions
71 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,009
Posts
49,735,241
Back
Top Bottom