Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla? 1. Immigration - ili upate passport...
10 Reactions
50 Replies
1K Views
NANAOMBA USHAURI Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa...
16 Reactions
67 Replies
2K Views
Twende nyuma, kuna namna pia wananchi wa Tanzania ni shida na hawajielewi. Hivi unaenda kumchagua mbunge Darasa la 7 awe mmbunge wako akakupiganie Sera na Kukuletea maendeleo, serious? Tanzania...
3 Reactions
24 Replies
221 Views
Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
2 Reactions
8 Replies
114 Views
Salaam,Shalom. Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe. Mbagala Sako, Maji MATITU, maji meusi ndipo...
3 Reactions
6 Replies
177 Views
Kuna mtu ukimtania "hapo chini Kuna nyoka" ni Kama unatafuta kumuua kwa presha, hawapendi kabisa kuleteana utani wa nyoka. Wengine wakijua ndani, nyumba wanazoishi Kuna nyoka ataikimbia nyumba na...
24 Reactions
251 Replies
14K Views
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Hello, Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya. Wengi mlinisimanga sana humu. Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati...
8 Reactions
70 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,768
Posts
49,728,359
Back
Top Bottom