Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
8 Reactions
86 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Paschal Casian: Nampa Christina shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka.
1 Reactions
6 Replies
104 Views
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania. Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka...
12 Reactions
70 Replies
2K Views
Mke anabwabwaja tu toka asubuhi mpaka jioni. Imebidi niwe mlevi bila kupenda
5 Reactions
31 Replies
369 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
156K Replies
8M Views
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
8 Reactions
20 Replies
185 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
48 Reactions
309 Replies
9K Views
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani. Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa...
3 Reactions
92 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,113
Posts
49,651,283
Back
Top Bottom