Ilianza kama utani lakini sikujua kama itatokea siku nita fall in love na wewe,wala sikuwahi kuwaza kwamba utakuja kuziteka hisia zangu
Wakati mwingine huwa napotezea lkn ukweli unabaki pale pale...
NAWAKUMBUKA SANA
Kwenye picha hapo chini wa kwanza kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mwandishi na Farouk Abdullah.
Muscat mwaka wa 1999.
Nimeweka kitabu cha kumbukumbu ya...
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000.
Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo...
Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha
amani, usalama na ustawi wa Afrika
Ni dhamira ya Tanzania kukuza
amani na usalama barani Afrika ili
kuweka mazingira stahiki ya
kujenga ustawi...
Nimesikia Rais Ruto anawasapoti M23,kwa hiyo jambo gani litatokea akirudi kutoka Marekani na amerudi sasa within the past hour.
Au this is useless speculation tusubiri kuona jambo gani litatokea...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara.
1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni...
Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.