Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,477
- 11,464
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000.
Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za masafa marefu.
Helkopta aliyopanda marehemu Ebrahim Raisi aliyekuwa raidi wa Iran ni muundo wa kizamani iliyotengenezwa Marekani mwaka 1971.
Ndege kubwa zikiingia kwenye eneo lenye shida zina uwezo wa kupaa tena juu kukwepa hali hiyo.Lakini ile aliyopanda Ebrahim Raisi kama kulikuwa na shida za hali ya hewa isingeweza kupaa tena juu ya hapo ilipokuwa.Lazima itafuta eneo itue kwa dharura au ipambane hivyo hivyo mpaka itoke eneo hilo.
Kabla ya chochote kingine haikuwa busara kumpandisha raisi wa nchi kwenye helkopta kama hiyo badala ya ndege.Vile vile ingesoma vizuri hali ya hewa na kukwepa eneo lengye ukungu.