Tutazuia hadi lini?
Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza..
Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
Leo nasafiri kwenda katika kisiwa cha Ukara, nmeona ni vyema ningewajuza kuhusu kisiwa hiki kilichopo ndani ya mipaka ya Tanzania. Kabla sijaja Mwanza kikazi nlikuwa nasikia kuhusu kisiwa cha...
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.