1. Yaani ukifikiri kama panzi unakuwa panzi; lakini ukifikiri kama tajiri hauwi tajiri!
2. Anyway tupigeni kazi tu halafu masuala ya utajiri tumuachie Mungu mwenyewe maana yeye anavigezo vyake...
Mlango wa fahamu wa sita ni ule uwezo wa kunusa hatari au kufikiria hatua kumi mbele kabla ya tatizo halijatokea na kuweza kulizuia( pre-emption) na matumizi ya akili ya ziada(The use of...
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze.
Na je ikitokea amezikwa kawaida...
Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu.
Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha...
Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida.
Nawaza nikiwaleta...
Habari za jioni.
Katika masuala ya tiba za kienyeji tiba za kisuna na mengine viumbe hawa hutumika sana.
Ng'ombe, mbuzi, kuku, njiwa, paka mweupe na mweusi, bizi, ngulizi na ndege aina ya nofi...
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Ukitazama madogo asubuhi na mapema wanabeba mabegi mazito migongoni kuisaka elimu siku nzima wanakesha mashuleni kurudi mpaka jioni.
Wengine wanasomeshwa kwa lazima mpaka siku za weekend lengo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.