Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu?
“Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.