Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi. Maria mamake ni...
-1 Reactions
82 Replies
2K Views
Jinsi kiatu brand ya TAIMA kilivyotikisa 2000's - JamiiForums
21 Reactions
993 Replies
251K Views
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
5 Reactions
42 Replies
425 Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
17 Reactions
191 Replies
4K Views
Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
0 Reactions
3 Replies
50 Views
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki. Rejea kichwa cha habari hapo...
3 Reactions
58 Replies
804 Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
20 Reactions
2K Replies
206K Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
6 Reactions
56 Replies
754 Views
Denis Mpagaze ______________ 1. Mungu aliumba mto lakini hakuumba daraja la kuvukia kwenda ng'ambo; 2. Mungu aliumba anga lakini hakuumba ndege ya kutufikisha angani; 3. Mungu aliumba nchi...
5 Reactions
15 Replies
315 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
8 Reactions
331 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,914
Posts
49,644,733
Back
Top Bottom