Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siku ya leo nilikuwa Mawasiliano na mrembo Eunice tukiwa tunapiga story mbili tatu, niishie tu hapa maake niliyoyaona yanafurahisha sana Niseme tu, kama akili ya Eunice itakuwa imetengenezwa na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa...
5 Reactions
25 Replies
396 Views
Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida. Nawaza nikiwaleta...
2 Reactions
4 Replies
54 Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
9 Reactions
125 Replies
2K Views
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
7 Reactions
36 Replies
649 Views
Tukio la juzi,Mei 16,Askofu Bundala wa Dodoma amejinyonga na kamba,waya wa umeme,amejiua kukimbia madeni yaliyokuwa yanamkabili.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda . Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi...
23 Reactions
95 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
15 Reactions
40 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,949
Posts
49,646,087
Back
Top Bottom