Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
3 Reactions
42 Replies
436 Views
Malaika, viumbe wa mbinguni wanahitaji kufanya maboresho ya haraka sana ili kuweza kuwakabili waovu wa hii dunia pale watakapokuja na bwana. Malaika wamekuwa wakitumia Mapanga kama silaha yao kuu...
1 Reactions
2 Replies
25 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
11 Reactions
47 Replies
1K Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
22 Reactions
145 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
2 Reactions
21 Replies
240 Views
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
49 Reactions
390 Replies
22K Views
Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya...
3 Reactions
16 Replies
403 Views
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
15 Reactions
90 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,831
Posts
49,642,142
Back
Top Bottom