Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
4 Reactions
42 Replies
743 Views
My Take Naunga mkono Mtaka Kwa kuwashangaa hao wavivu na walaghai na ndio wanaolalamikiwa Kwa kutoa Huduma mbovu huko maofisini...
2 Reactions
37 Replies
463 Views
Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
11 Reactions
69 Replies
943 Views
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Denis Mpagaze ______________ 1. Mungu aliumba mto lakini hakuumba daraja la kuvukia kwenda ng'ambo; 2. Mungu aliumba anga lakini hakuumba ndege ya kutufikisha angani; 3. Mungu aliumba nchi...
3 Reactions
4 Replies
83 Views
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
13 Reactions
81 Replies
1K Views
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
9 Reactions
73 Replies
1K Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
17 Reactions
165 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,831
Posts
49,642,022
Back
Top Bottom