Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number
Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini.
Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
Malaika, viumbe wa mbinguni wanahitaji kufanya maboresho ya haraka sana ili kuweza kuwakabili waovu wa hii dunia pale watakapokuja na bwana. Malaika wamekuwa wakitumia Mapanga kama silaha yao kuu...
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.
Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.