Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau humu naombeni muongozo najua kuna watu humu walishawahi fika zanzibar kula bata. Sasa nataka niende by ijumaa niende kuhudhuria ile fullmoon party,je vitu gani nitarajie?
5 Reactions
60 Replies
941 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
24 Reactions
79 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
6 Reactions
32 Replies
301 Views
Mzuka wanajamvi! Wairan wakimuomboleza Ebrahim Raisi.
2 Reactions
15 Replies
216 Views
KAMA ULIKUWA HUJUI... Nchi ya Latvia ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika bara lote la ulaya Wanawake ni asilimia 17 zaidi ya idadi ya wanaume Yaan kwenye wanawake 117 kwa...
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
16 Reactions
266 Replies
3K Views
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
4 Reactions
33 Replies
404 Views
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
9 Reactions
141 Replies
1K Views
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote...
0 Reactions
3 Replies
49 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,041
Posts
49,680,009
Back
Top Bottom