Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamani nisaiidieni mwongozo nipulize dawa Gani maana miparachichi yangu inapukutisha matunda yangali machanga!
0 Reactions
21 Replies
507 Views
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025...
11 Reactions
67 Replies
2K Views
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki...
1 Reactions
13 Replies
95 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
40 Reactions
143 Replies
3K Views
Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
11 Reactions
35 Replies
691 Views
Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia...
5 Reactions
33 Replies
400 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
386 Replies
23K Views
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
2 Reactions
42 Replies
948 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao. Bei ni 15,000/= kwa kila kiti. Ukichukua vyote ni 65,000/= Napatikana Dar es Salaam. Mawasiliano ni 0626753305
2 Reactions
7 Replies
144 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
4 Reactions
103 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,129
Posts
49,682,698
Back
Top Bottom