Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu...
5 Reactions
45 Replies
294 Views
Wakuu habari zenu. Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha. But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo. Site ipo Kiabakari - Musoma, ni...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
15 Reactions
93 Replies
2K Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
22 Reactions
144 Replies
3K Views
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa. Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
6 Reactions
16 Replies
205 Views
Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa...
1 Reactions
2 Replies
18 Views
Mara nyingi kwenye Bible utakuta imeandikwa " Ili andiko la Nabii fulani litimie" Ngoja tuone Kiroho Zaidi Nawatakieni Sabato njema 😀😀
1 Reactions
2 Replies
23 Views
Tumekuwa na picha nyingi zinazotutafakarisha vingi vingi, lakini tumekuwa interest zaidi na picha zenye kupendeza, kufurahisha, kuhamasisha, kujifunza na kuburudisha. Hii itakuwa thread maalum ya...
19 Reactions
544 Replies
26K Views
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
13 Reactions
105 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,780
Posts
49,640,831
Back
Top Bottom