Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aisee wadau za saa hii? Naandika huu ujumbe nikiwa naendesha, lakini hawa Trafiki wa Nzega hapa njia panda ni wa kukata mapanga.
4 Reactions
30 Replies
953 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
16 Reactions
267 Replies
3K Views
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa...
2 Reactions
17 Replies
263 Views
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
6 Reactions
36 Replies
301 Views
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president. The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo ana miaka 90 sasa Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru...
1 Reactions
9 Replies
215 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
25 Reactions
80 Replies
1K Views
Ikiwa Serikali ilijuwa kwamba imenunua meli mbovu ambayo mda wote ingezama lakini iliacha ikaendelea kutumika Hadi ilipopinduka na kuua maelfu ya watu,lengo la kufanya haya ilikuwa ni nini hasa...
3 Reactions
17 Replies
368 Views
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna...
14 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakuu shwari!! Ya kale ni dhahabu hii haipingwi wazee. Iko wazi kama mbuzi . Nyimbo za zamani hazijawahi kuchuja Wala kupoteza mvuto wake! Hii ni kwasababu watunzi wa kipindi hicho walitumia...
0 Reactions
23 Replies
779 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,044
Posts
49,680,105
Back
Top Bottom