Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
MDAHALO WA KIELIMU: Season 2
Waislamu mwalimu wenu anakibarua kizito
Baada ya MDAHALO wa kwanza walimu wakiislamu Sule,mazinge na genge lao kupigwa KO
Sasa tumeandaa MDAHALO mwingine...
Habari wadau. Watumishi tuliohama mwaka Jana mwezi wa kumi na kupata vibali hatujahamishiwa taarifa zetu za mshahara mpaka Leo, Hali ambayo imepelekea kushindwa kuingia katika mfumo wa upimaji wa...
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambazo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.