Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
16 Reactions
138 Replies
1K Views
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI VILAZA this i know.
2 Reactions
8 Replies
109 Views
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
10 Reactions
48 Replies
636 Views
Inamana hawa jamaa wali wa buku wanapunja hivi? Dah Ama kweli buku saiv si kitu.
4 Reactions
20 Replies
180 Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
7 Reactions
66 Replies
569 Views
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua...
3 Reactions
26 Replies
118 Views
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa...
3 Reactions
37 Replies
340 Views
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara. Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite...
4 Reactions
27 Replies
338 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
7 Reactions
290 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,895
Posts
49,643,977
Back
Top Bottom