*Unalalamika kama Yeye
*Unaongea sana kama Yeye
*Unaongozwa na hisia kama Yeye
*Una wivu sana kama Yeye
*Huna misimamo kama Yeye
*Una matiti na kitambi kama Yeye
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto
mfano kwa...
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.