Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha. Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
8 Reactions
1K Replies
40K Views
Hii ya Jana nimeipenda mheshimiwa. Tunakushukuru Waziri wa habari Kwa kutuhabarisha, maisha hayataki complications.
2 Reactions
5 Replies
170 Views
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
6 Reactions
26 Replies
839 Views
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira...
2 Reactions
3 Replies
55 Views
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio. Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
2 Reactions
28 Replies
284 Views
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa...
7 Reactions
30 Replies
337 Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
16 Reactions
274 Replies
3K Views
WANAWAKE WANATESA WANAUME MABWEGE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaleta mambo ya kibwegebwege Kwa nini usiteswe. Unaleta Tabia za kibwege nazi, Acha unyooshwe. Hakuna mwanaume Duniani...
48 Reactions
95 Replies
7K Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
20 Reactions
124 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,495
Posts
49,633,147
Back
Top Bottom