Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
0 Reactions
13 Replies
302 Views
Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu. Malengo au lengo lisilowezekana...
2 Reactions
3 Replies
25 Views
Jamaa wanasema huduma imerudi ila kiuhalisia ni mapichapicha tu hakuna lolote bado hali ni mbaya.
2 Reactions
27 Replies
261 Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
1 Reactions
11 Replies
86 Views
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
14 Reactions
61 Replies
1K Views
Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani. Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo. Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma...
0 Reactions
3 Replies
52 Views
Polisi, JKT, JWTZ na Jeshi la Magereza wanalipwa kiasi gani cha mshahara, naomba mwenye salary scale yao aweke hapa. Uzi tayari.
4 Reactions
90 Replies
32K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
3 Reactions
78 Replies
1K Views
Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
2 Reactions
10 Replies
218 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,440
Posts
49,631,751
Back
Top Bottom