Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakiume...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
4 Reactions
25 Replies
487 Views
Ilikuwa nishuke kituo A ila hakuna tatizo hata nikishukua kituo B au C
4 Reactions
9 Replies
200 Views
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na...
2 Reactions
8 Replies
147 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
4 Reactions
26 Replies
156 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
15 Reactions
158 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,574
Posts
49,635,271
Back
Top Bottom