1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu...
Habari za wakati huu wana jamii forum bila shaka wote ni wazima na wale ambao mmeamka na changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi.
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni wa wananchi tunaoishi...
Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya...
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
Wakuu Heshima mbele.
Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho...
Kiunganishi katika ndoa ni kushiriki tendo la ndoa.
Inapotokea tendo la ndoa halifanyiki kwa muda fulani mfululizo, hapo kunakuwa hakuna ndoa, na badala yake wote wawili mnakuwa washirika wa...
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na...
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.