Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
7 Reactions
147 Replies
4K Views
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye...
15 Reactions
66 Replies
742 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
8 Reactions
39 Replies
192 Views
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki Hadi kwao 😁😁😁 My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa 😂😂 ==== CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa...
4 Reactions
32 Replies
554 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
31 Reactions
276 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti...
1 Reactions
17 Replies
115 Views
hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wanainchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza... Ni mateso kuishi na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi, Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa...
2 Reactions
21 Replies
131 Views
Habari kwa wanaJamiiForums wote! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
3 Reactions
15 Replies
107 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,098
Posts
49,622,660
Back
Top Bottom