Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

Attelan

JF-Expert Member
Oct 12, 2023
447
729
Habari kwa wanaJamiiForums wote!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia baadhi ya vitu nilivyotumiwa), ghafla nikakutana na Ban ikionesha nimezuiwa kutumia akaunti ya whatsApp. Niliandika review na kuituma whatsApp, baada ya masaa 24 nilipata ujumbe kwamba nilikiuka Sheria za whatsApp.

Siku ya leo nimetumia namba nyingine nakujiunga whatsApp lakini mambo yamebaki vile vile nimelimwa Ban nyingine. Sababu ni ile ile, imefika muda nimeona haya mambo ya whatsApp nikuachana nao tu. Ufanye hiki unaambiwa umevunja sheria 😂😂😂
 
Acha huo mchezo, watakupa ban ya milele na kama namba yako unaipenda ndo itakua basi tena, tumia genuine wasap
Haujanielewa! Nimeandika kwamba ninatumia genuine whatsApp application ile ile ya META wenyewe na situmii hizi MODS za whatsApp.

PS: Na download whatsApp kutoka playstore
 
Haujanielewa! Nimeandika kwamba ninatumia genuine whatsApp application ile ile ya META wenyewe na situmii hizi MODS za whatsApp.

PS: Na download whatsApp kutoka playstore
Lugha zimegongana hapo, understandable mkuu, hapo sina maelezo
 
Back
Top Bottom