Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000.
Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo...
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Naomba mnipe haki yangu ya kuuliza kile ambacho nakishuhudia katika makundi, jamii na nchi mbali mbali.
Yaani katika muunganiko au mkusanyiko wa wa level yeyote ile, iwe familia, ukoo, wilaya...
Hellow wanachit chat
Mi mgalikoko , ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?
Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them?
Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili...
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ?
Nataka kufaham tu, kama hulijui...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.