Wanajamvi,
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya.
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
Hii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani.
1. Bunge la Taiwan
Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli...
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwa nini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima?
Nina maana kuwa bumps kama hizo...
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja...
Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu.
Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.