Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Habari wakuu,
Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi...
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni...
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee
Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile
=====
India has achieved...
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
Kebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara...
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia...
Toyota Corolla Rumion
Color:Maroon
1490 cc
Very economical
Immaculate Condition
Android TV/Audio
Alloy Wheels
57,000KM
A/C
Ipo Dsm
Place your offer
WhatsApp +255785199755
i watched the 2 games. Makocha wa hizi team wote Awana objective football . Useless in attack . Kama wanashinda watoa nje .
Kwa yanga it’s worse than wydad . Yanga amna kitu wanaweza useless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.