Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
SIJUI KWENU WANANDUGU HUKU KWETU WAKINA MUHA WANATESAJE MADADA ZETU NA MIKOPO YAAN UNASHANGAA MKONAE PUB GAFLA WANAKUACHA WENYEWE HUKU WANAOMBA KUJIFICHA VYOON AISEE KAMA KUWANYOOSHA MNAWANYOSHA...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
3 Reactions
20 Replies
382 Views
Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
2 Reactions
194 Replies
7K Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
18 Reactions
185 Replies
8K Views
Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo...
3 Reactions
3 Replies
31 Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
6 Reactions
65 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili. ===== Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years...
0 Reactions
16 Replies
293 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,472
Posts
49,605,196
Back
Top Bottom