Mungu wa mbinguni mbariki Paul Makonda na program yake ya kuliokoa Taifa
Habari njema ihubiriwe kuanzia Mlima Kilimanjaro hadi bwawani kwa mwalimu Nyerere Rufiji
Nawatakia Kupaa kwema kwa Masihi...
"Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada...
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na...
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari...
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
Tunaendelea kuweka sawa rekodi za Mzanzibari Samia alizofanya Kwa miaka 3 lakini ziliwashindwa Watanganyika Kwa Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru.
Elimu
1.Amefuta ada ya form Six na kupunguza ada ya...
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.