Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WAKISEMA WAPO NYUMA YAKO USIGEUKE KUWAANGALIA. 1.Utaumia kukuta sura mpya kabisa ndio wapo nyuma yako. 2.Utaumia kukuta wao ndio wa kwanza kukuvutia nyuma. 3.Utaumia kukuta wao ndio mashahidi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
6 Reactions
9 Replies
55 Views
  • Suggestion
Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu...
10 Reactions
48 Replies
486 Views
Nchi ya Tanzania ina madini ya kila aina katika sehemu mbalimbali. Kuna madini mengi sana mkoani Geita, na sehemu nyingine za nchi yetu. Kama watunga sera wa Wizara ya Elimu na mawaziri wote wa...
2 Reactions
12 Replies
272 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
17 Reactions
191 Replies
5K Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
11 Reactions
69 Replies
2K Views
Topic KWANINI YESU ASURUBIWE MLIMA WA GOLGOTA WALA SI MLIMA MWINGINE? Israel ina milima mingi hata Yerusalemu imezungukwa na milima Samari ina milima .Yer 31.5 Karmeli nao ni mlima ,Yer 46:18...
2 Reactions
23 Replies
248 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,970
Posts
49,560,843
Members
667,722
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom